Barua wazi kwa Raila Odinga: Kenya ina demokrasia kwa sababu yako

TUKO - Kauli ya Mhariri: Bloga wetu leo ni Donald Kipkorir. Anazungumzia sababu ya mgombea wa NASA ya kukubali matokeo hata kama yana ma...


TUKO - Kauli ya Mhariri: Bloga wetu leo ni Donald Kipkorir. Anazungumzia sababu ya mgombea wa NASA ya kukubali matokeo hata kama yana makosa na amemwandikia barua wazi Raila Odinga kwa kumwambia bado ndiye Rais wa wananchi na kujitolea kwake kuhakikisha kuwa Kenya ni bora zaidi kutakumbukwa.

"Baba, licha ya matokeo ya urais, nafasi yako katika Historia ya Kenya haiwezi kufutika. Hakuna kiongozi mwingine ila Rais Daniel Arap Moi amekuza viongozi kote nchini. Kutoka Mombasa hadi Turkana, Garissa, Busia, Kajiado, na hata Meru, umewasaidia wengi na kuwapa sura mpya. Mimi binafsi, nitaka uwe rais na nilikupigia kura. Wengi wanasahau kuwa bila wewe, Kenya haingekuwa na mfumo wa vyama vingi. 


Haingekuwa juhudi yako, Moi bado angekuwa rais kama Yoweri Museveni na Robert Mugabe. 

Babako alihakikisha kuwa Jomo Kenyatta alifanyika kuwa Waziri Mkuu wa kwanza na baadaye Rais. Utaratibu wetu wa uchaguzi unaendelea vyema kila mwaka, kwa sababu umejitolea kufanyisha uchaguzi wa kuaminika. Kenya ina demokrasia kwa sababu yake. Kutokuwa rais hakuwezi kushusha hadhi yako na mchango wako kwa taifa letu. Wengi ni watu wakubwa na wanaoheshimika bila kuwa wanasiasa. Mahatma Gandhi, Nelson Mandela, na Dalai Lama ni mifano. 


Kwa miaka 72 uliyo nayo, una wakati mwingi wa kuwa rais wa kuwakuza viongozi wa kizazi kijacho. Endelea na majukumu yako kwa kizazi kinachokuja cha viongozi na kuhakikisha kuwa Katiba inafuatwa. 

Ulikejeliwa, kutusiwa na kuchekelewa lakini juu ya yote, wewe ni mzalendo wa kweli na kiongozi mkarimu na ninaamini kuwa wakati wake, taifa hili litakupa heshima unayostahili. 


Uhuru akitangazwa mshindi mpigie simu, kubali matokeo hata kama ni ya uongo. Sisema ninaunga mkono wizi wa kura, lakini ninasema nyakati nyingine maishani, ni vyema kufanya uamuzi kwa mambo mema zaidi." 


COMMENTS

Loading...
Loading...
Name

Africa Politics,119,Biography,26,br,1,Breaking News,224,Business,21,Celebrities,919,Donald Trump,38,Education,3,Entertainment,625,Extras,47,Foreign News,7,Foreign Showbiz,385,Ghana People,140,Ghana Politicians,531,Ghana Politics,719,Ghana Post,2,Gossip,194,Lifestyle,239,Local Showbiz,1027,Music,156,News,725,Opinions,25,People and Opinions,268,Politics,140,Religion,26,Sex Tapes,30,Social Media,82,South Africa Today,109,Sports,1006,Tech,5,Try it,1,USA Today,129,Videos,161,Viral,196,World Politics,176,
ltr
item
GhanaPoliticians.com: Barua wazi kwa Raila Odinga: Kenya ina demokrasia kwa sababu yako
Barua wazi kwa Raila Odinga: Kenya ina demokrasia kwa sababu yako
https://2.bp.blogspot.com/-WnrCSZpQ-wI/WY62DX2scII/AAAAAAAAMCg/VlFfyVkLT-QAh4c_FFND1FoYxtfnHPMQACLcBGAs/s320/a.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-WnrCSZpQ-wI/WY62DX2scII/AAAAAAAAMCg/VlFfyVkLT-QAh4c_FFND1FoYxtfnHPMQACLcBGAs/s72-c/a.jpg
GhanaPoliticians.com
http://www.ghanapoliticians.com/2017/08/barua-wazi-kwa-raila-odinga-kenya-ina.html
http://www.ghanapoliticians.com/
http://www.ghanapoliticians.com/
http://www.ghanapoliticians.com/2017/08/barua-wazi-kwa-raila-odinga-kenya-ina.html
true
7028582800879771799
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy